Mkopo wa HAZINA: Miaka mitatu mfululizo nakosa sijui hata nakosea wapi mpaka nakosa Imani na serikali yangu

Mkopo wa HAZINA: Miaka mitatu mfululizo nakosa sijui hata nakosea wapi mpaka nakosa Imani na serikali yangu

Ni lazima uombe mkopo hazina? Njia nyingine za kupata mkopo si zipo ??? Ungekuwa na uhitaji mkubwa ungesubiri miaka yote mitatu ! Tafuta zee moja huko uongee nalo vizuri hutokwama ! Kumbuka hakuna connection ya bure dunia hii, utoe pesa ama utoe k !
Walaaniwe wote na vizazi vyao vya saba mbeleni.....

Taifa la ovyo kabisa hili.
 
Alafu wanakopeshana watu wa HALMASHAURI tu,yaani Hawa wengine HAWAPATI,ukipata ujue umehonga,au umeliwa,alafu hiyo MIKOPO ikija HALMASHAURI Huwa hawatangazi,ni KIMYA KIMYA,hakuna Cha haki hapo. Serikali ingetumia MFUMO wa ESS badala ya huu utaratibu.
Wizarani na halmashauri wengi Wana huo mkopo linapokuja kwetu sisi watumishi wa kawaida kupata ni mbinde kweli...!!

Yaani hadi moyo wa uzalendo mtu una kutoka.
 
Back
Top Bottom