Walaaniwe wote na vizazi vyao vya saba mbeleni.....Ni lazima uombe mkopo hazina? Njia nyingine za kupata mkopo si zipo ??? Ungekuwa na uhitaji mkubwa ungesubiri miaka yote mitatu ! Tafuta zee moja huko uongee nalo vizuri hutokwama ! Kumbuka hakuna connection ya bure dunia hii, utoe pesa ama utoe k !
Wizarani na halmashauri wengi Wana huo mkopo linapokuja kwetu sisi watumishi wa kawaida kupata ni mbinde kweli...!!Alafu wanakopeshana watu wa HALMASHAURI tu,yaani Hawa wengine HAWAPATI,ukipata ujue umehonga,au umeliwa,alafu hiyo MIKOPO ikija HALMASHAURI Huwa hawatangazi,ni KIMYA KIMYA,hakuna Cha haki hapo. Serikali ingetumia MFUMO wa ESS badala ya huu utaratibu.
Ungekuwa umepata ningekuomba uniunganishe na mimi mkuu...sifurii...
Hivi kuna taifa linatengenezwa na hamsemi?sasa tunatengeneza Taifa la aina Gani ??
Mama Naa watu wanataka mzigo wambemende Naa madikini ya Mungu.sasa tunatengeneza Taifa la aina Gani ??
🤣🤣🤣My application number was 33..
Hahaha! Subiri uone karibia na uchaguzi mkuu mwaka ujaoNdio nipo halmashauri (Afya )