Tetesi: Mkopo wa iphone

Tetesi: Mkopo wa iphone

nasikia benk ya stanbic wanatoa mkopo wa iphone je ni kweli au uongo?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenifurahisha saana zote ni ndoto za kutaka miliki IOS?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenifurahisha saana zote ni ndoto za kutaka miliki IOS?
sio kumiliki ios nmeulizwa tu na mm siko mjini niko kijijin na ndio maana nikauliza nimfahamishe aliyeuliza
 
Angesema Mkombozi Bank Ningeamini Haa....
 
Back
Top Bottom