mim kunakipindi nilipata kazi maeneo Fulani, simjui MTU, wala nini, nilichokifanya niliongea na wafanyakazi wa hiyo taasisi, kupitia kwa boss wangu, akaniunganisha na mtumishi mmoj, nikawa naishi kwake ndani ya mwezi mzima, nipopata tu mshahara, nikakodi chumba na godoro la futi mbili, sio tano kwa sita, godoro likanisogeza miezi mitatu baadaye,nikanunua godoro la tano kwa sits,na kitanda.
Ndugu yangu nimejaribu vyoteee ila naona imeshindikana kabsaaa maana wafanyakazi wengi wa hapo n wa kike basi n taabu sana
Simple tongoza mmojaNdugu yangu nimejaribu vyoteee ila naona imeshindikana kabsaaa maana wafanyakazi wengi wa hapo n wa kike basi n taabu sana
Taja dhamana upate msaada acha mbwembweGharama hzo unataka uniongezeee ndugu yangu
Let me use that 2 % effectively
Wew unankosoa mwenzio nawew ona unakosea hyo ni tril30? Kujikutaga mnajua sabaHeading yako inasema unahitaji Mkopo wa Laki 300,000,
Yani zile laki laki ziwe 300,000,
Yaani 100,000/= x 300,000 = 30,000,000,000/= (Tril 30)
Na wewe unamkosoa kumbe umekosea.. Sio Saba in sanaWew unankosoa mwenzio nawew ona unakosea hyo ni tril30? Kujikutaga mnajua saba
hahhahaaa
duh.jf bana hahahaNa wewe hapo kwenye "in" ni "ni".