Eli24
Senior Member
- Jan 1, 2018
- 165
- 364
Habari ndugu zangu wana JF
Mim ni kijana ambae nlikuwa napambana na maisha ila hv karibuni nmeweza kupata kazi katika jiji la Arusha Ila hyo kazi inaanza January tarehe 2. Kwa sasa nina omba mkopo wa shiriki laki3 iliniweze kijikimu wakat nasubilia mshahara wangu wa kwanza maana siwez kukaa gesti house kipind chote wakat naanza kufanya kazi na sina ndugu wala marafik...Je kuna mtu anaweza kunisaidia kupata Mkopo huo na kwa riba yake yeye atakayopanga maana kwa sasa sina chochote kile tutaandikiashina kila kitu ili niweze kupata Mkopo huo.
Ahsante