Mkopo wa mtandao kwa kutumia App

Mkopo wa mtandao kwa kutumia App

helly hassan

New Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
1
Reaction score
3
Ongezeko la Technology limefanya profiling ya mkopaji kuwa huru na kufanya mtu kuweza kukopa online kwa kutumia mitanda kumekuwa na mitandao au apllication nyingi sana ambazo zinatoa mkopo pindi unapotimiza vigezo vyao.

Vigezo vya vimekuwa si vingi sana bali vinaomba ruhusu ya kusoma majina yako na ruhusu ya kusoma sms zako za kwenye simu hii kitu kwangu natilia mashaka ila kwa kuwa unataka mkopo na unashida inakulazimu kuipa access hiyo applications iweze kufanya upembuzi wake tutoke huko.

Kumekuwa na company nyingi ambazo zimekuwa zikitoa mikopo mtandaoni na nyingi zimekuwa zinakupa mkopo ila linapokuja kwenye swala la liba liba zimkuwa kubwa sana kuna wengine wanachaji hadi 80% ya ulichokopa ukisikia mikopo kausha damu ndo hii kwa kutumia uzi na kwa ajili ya faida kwa wengine naomba kujua ni application ipi ambayo inatoa riba ndogo mtandaoni.miongoni mwa application maarufu kwa riba ni hizi hapa:
  • Pesa x mkopo
  • Finloan app
  • Branch
  • Okoa maisha
  • M safi loan
  • Fair loan
  • Nikopeshe
  • Twiga loan
  • Okoa maisha
  • Eagle cas
  • Kopa fasta
Hizi app zote zinatoa mkopo ndani ya dakika tatu ila kwenye swala la riba rate zao ziko juu sana, najua rate zinakuwa ziko kutokana na risk ya hii biashara ila naomba kujua ni app ipi ina rate za chini iwe faida na kwa wengine.

Ahsante.
 
Ongezeko la Technology limefanya profiling ya mkopaji kuwa huru na kufanya mtu kuweza kukopa online kwa kutumia mitanda kumekuwa na mitandao au apllication nyingi sana ambazo zinatoa mkopo pindi unapotimiza vigezo vyao.Vigezo vya vimekuwa si vingi sana bali vinaomba ruhusu ya kusoma majina yako na ruhusu ya kusoma sms zako za kwenye simu hii kitu kwangu natilia mashaka ila kwa kuwa unataka mkopo na unashida inakulazimu kuipa access hiyo applications iweze kufanya upembuzi wake tutoke huko.kumekuwa na company nyingi ambazo zimekuwa zikitoa mikopo mtandaoni na nyingi zimekuwa zinakupa mkopo ila linapokuja kwenye swala la liba liba zimkuwa kubwa sana kuna wengine wanachaji hadi 80% ya ulichokopa ukisikia mikopo kausha damu ndo hii kwa kutumia uzi na kwa ajili ya faida kwa wengine naomba kujua ni application ipi ambayo inatoa riba ndogo mtandaoni.miongoni mwa application maarufu kwa riba ni hizi hapa

-Pesa x mkopo
-finloan app
-branch
-okoa maisha
-m safi loan
-fair loan
-nikopeshe
-twiga loan
-okoa maisha
-eagle cas
-kopa fasta


Hizi app zote zinatoa mkopo ndani ya dakika tatu ila kwenye swala la riba rate zao ziko juu sana.najua rate zinakuwa ziko kutokana na risk ya hii biashara ila naomba kujua ni app ipi ina rate za chini iwe faida na kwa wengine Ahsante.
Unakopa elfu20 wanakata riba kabisa kwanza elfu6, kwenye ile elfu20 ulizoomba kukopa, kisha wanakutumia elfu14 halafu wanakudai elfu26 baada ya siku 30.
Patamu hapo.....
 
Vp kuhusu twiga loan hawa jamaa uspowalipa wanafanyaje??mwwnye uzoef naon tafadhali
 
Back
Top Bottom