helly hassan
New Member
- Dec 5, 2014
- 1
- 3
Ongezeko la Technology limefanya profiling ya mkopaji kuwa huru na kufanya mtu kuweza kukopa online kwa kutumia mitanda kumekuwa na mitandao au apllication nyingi sana ambazo zinatoa mkopo pindi unapotimiza vigezo vyao.
Vigezo vya vimekuwa si vingi sana bali vinaomba ruhusu ya kusoma majina yako na ruhusu ya kusoma sms zako za kwenye simu hii kitu kwangu natilia mashaka ila kwa kuwa unataka mkopo na unashida inakulazimu kuipa access hiyo applications iweze kufanya upembuzi wake tutoke huko.
Kumekuwa na company nyingi ambazo zimekuwa zikitoa mikopo mtandaoni na nyingi zimekuwa zinakupa mkopo ila linapokuja kwenye swala la liba liba zimkuwa kubwa sana kuna wengine wanachaji hadi 80% ya ulichokopa ukisikia mikopo kausha damu ndo hii kwa kutumia uzi na kwa ajili ya faida kwa wengine naomba kujua ni application ipi ambayo inatoa riba ndogo mtandaoni.miongoni mwa application maarufu kwa riba ni hizi hapa:
Ahsante.

- Pesa x mkopo
- Finloan app
- Branch
- Okoa maisha
- M safi loan
- Fair loan
- Nikopeshe
- Twiga loan
- Okoa maisha
- Eagle cas
- Kopa fasta
Ahsante.