Mkopo wa Tsh.1,000,000/= wenye riba isiyozidi 20% kwa mwaka.

Msenyele

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2012
Posts
338
Reaction score
86
HABARI ZA MAJUKUMU WANAJF!
Naomba kupatiwa mkopo wa kiasi tajwa hapo juu kwa ajili ya kuendeleza mradi wangu. Ningependa kuurejesha katika kila mwisho wa mwezi kwa muda wa mwaka mmoja.

Tafadhali kwa anayeweza ani 'private sms' ili tuweze kupeana details zaidi. Pia kwa anayejua panapoweza kupatikana mkopo huo asisite kunijulisha hata kama ni mtu binafsi.

Natanguliza shukrani;
Mjasiliamali wa Mwanza wilaya ya Nyamagana.
 
thread hizi zimekuwa ngumu sana humu jf .... ukifanikiwa unaweza kuwa umewasaidia na wengi

in Tanzania lending is a very tough exercise to the fact that their is no any formal stake that take charge apart from commercial banks and other rip-off financial companies
 
OK! Ila wote hatuwezi kuwa viongozi. Lazima wawepo watu wa kuongozwa ambao ndo sisi, anyway ushauri wako naufanyia kazi.
 

tafuta bank huko mwanza watakukopesha hiyo million moja. Kama ungekuwa hapa dar standard chatered bank wanasaidia sana kama una kitu ambacho ungeweza kuwarudishia kila mwezi wapate kakitu
 
Mkuu mbona hiyo benki ipo hata Mwanza? Naomba mkuu unisaidie vigezo wanavyotumia kukopa na mashariti yao kwa ujumla. Nahitaji sana walau mwezi huu nipate.
 

jiunge na vikoba.
 
Una dhamana yoyote kama nyumba au gari au kiwanja? Nitakupa pesa hiyo kwa riba ya 50%.
 

Njia rahisi ya kupata mikopo midogomidogo kama huo ni kujiunga na vikundi vya kusaidiana Msenyele
 
Last edited by a moderator:
Vicoba ni village community bank au kama saccos, lakin pesa msipeleke bank mnawekeza kwa njia ya kununua hisa mathalan hisa moja inaweza kuwa sh 5000 na kila wiki unaweza nunua hisa moja, mbili ama tatu kufuatana na kiwango cha hisa mlichokubaliana. Na utakapohitaji kukopa, unakopa mara tatu ya hisa ulizowekeza kwa riba mliyokubaliana. Na hiyo riba mwisho wa mwaka mnagawana ninyi wenye vicoba.. tofauti na kukopa benki, faida ni mali ya benki. Ni system imewainua watu wengi sana lakin mnatakiwa kuwa waaminifu na kilawk ununue hisa ilikuwekeza.AEE wamekuwa wakiendesha semina jinsi ya kuzianzisha na kusaidia vikundi mbalimbali jinsi ya kuziendesha
 
Jamani kiukweli humu ndani wa2 mna masihara sana ila kwa sisi tuliomaliza chuo na tunahitaji mikopo tuko serious sana kiukweli hata mie Nina kashamba kangu mbande na nahitaji mkopo.Je nifanyeje na wapi naweza kupata mkopo kwa bei nzuri@nasikia kuhusu standard charter hapa sasa nihakikisheni halafu vp NMB &CRDB na kuhusu stanbic bank inakuwaje hapa nisaidieni jamani...
 

Nadhani inategemea na refund cash flow yako itakuwaje au ni aina ipi ya mkopo unaohitaji kwa maana ya Overdraft au term loan ? mfano term loan ya reducing balance nadhani hiyo 20% kama ni effective interest rate ni kubwa sana maana yake inakaribia 36% kwa mwaka ambapo bank nyingi sana ziko kwenye 21% hadi 26% kwa lugha nyingine ya reducing balance term loan effective rate yake utakuwa umelipa wastani wa 11% hadi 14% ya mkopo utakao kuwa umechukua tafuta mtaalam akusaidie baada ya kujua aina ya biashara na inafaa uchukue mkopo wa aina gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…