Mkopo wa vifaa vya Pikipiki, Bajaj na Suzuki Carry

Mkopo wa vifaa vya Pikipiki, Bajaj na Suzuki Carry

bajaji inakuwa imekatiwa bima(comprehensive insurance ya miaka 2)unakopeshwq kwa mil 7 ndani ya miaka miwili fika offcn kwetu bamaga mwenge au piga namba zilizopo hapo juu
me n mwanafunz je mnaweza nikopesha
 
Naona watu hawajaelewa jamaa kasema ANAKOPESHA VIFAA na sio pikipiki yenyewe au bajaji yenyewe kwa mujibu wa kichwa cha bandiko lake
 
Kichwa kinasema tunakopesha vifaa vya pikipiki,bajaji,suzuki carry lkn watu mnaulizia bajaji sijui pikipiki na jamaa taarifa yake kaweka kimtego mtego harafu anakimbizia fika ofisini kwetu au piga simu.

Mkuu biashara za mitandaoni ww funguka kbs mwanzo mwisho ikiwa pamoja na mashart ya kupata hiyo mikopo ya hivyo vifaa na vigezo ili watu wakivutiwa ndio wakufuate huko ofisini au wakupigie simu.

Mbali na hapo utaonekana kama haupo serious.
 
Back
Top Bottom