Kichwa kinasema tunakopesha vifaa vya pikipiki,bajaji,suzuki carry lkn watu mnaulizia bajaji sijui pikipiki na jamaa taarifa yake kaweka kimtego mtego harafu anakimbizia fika ofisini kwetu au piga simu.
Mkuu biashara za mitandaoni ww funguka kbs mwanzo mwisho ikiwa pamoja na mashart ya kupata hiyo mikopo ya hivyo vifaa na vigezo ili watu wakivutiwa ndio wakufuate huko ofisini au wakupigie simu.
Mbali na hapo utaonekana kama haupo serious.