Mkopo wanafunzi

Mkopo wanafunzi

Man Opposite

Member
Joined
Oct 22, 2011
Posts
6
Reaction score
0
Jaman mtu aloahilisha mwaka akaandika na barua ya kusitisha mkopo wake akitaka arudishiwe coz anataka kuendelea na shule anafata procedure gan???
Help plz!!!!
 
Jaman mtu aloahilisha mwaka akaandika na barua ya kusitisha mkopo wake akitaka arudishiwe coz anataka kuendelea na shule anafata procedure gan???
Help plz!!!!

JIFUNZE KUANDIKA VIZURI

Wewe ni Degree au Diploma..?
Kama ni degree anza kwa kwenda moja kwa moja bodi ya mikopo watakupa utaratibu...!

Huwa wanaandika barua ya ku-retrieve mkopo baada ya kurudi chuo!
 
Kizzy wizy uko vizuri, lazima watu wafuate taratibu za uandishi.
 
Back
Top Bottom