Mkuu naomba kujua umejuaje kuwa mkopo wako umepelekwa chuo kingine..kuna mdogo wangu hayumo kwenye database lakini alitransfer to priority course
The student with Index number
'S0771.0071.2010' did not secure a higher
education loan for 2013/14 academic year.
mkuu google olas watakuletea olas loan allocation ingia hapo. Ingiza details zake watakuonyesha kozi aliyonayo na mkopo uliko pamoja na mgawanyo wake.
Dah pole mkuu ,naomba nichekie s.0771/0071/2010 tafadhali
Kwa hiyo nisipoenda tabora pesa yangu nitaipataje kwa Duce? Bora niende Jkt nimechoka na ghadhabu sasa
mkuu hapo sahau unaweza ukakaa mwaka mzima ukifatilia swala hilo na bado ukose huo mkopo nimeshashuhudia baadhi wakisumbuliwa !! Ukitaka mkopo ufuate huko ulikopelekwa ukisubiri ukufuate itakuwa sawa na yule asiyekuwa nao!! Tatizo la hawa jamaa ukishatoka kwenye system tu tegemea usumbufu wa hali ya juu otherwise jipange!!