Pompoo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 362
- 41
Kabla ya transfer nilichaguliwa DUCE Baed. Ila Nikaomba transfer ya kwenda NIT. Tena nikapewa fom maalum pale chuoni nijaze nakuipeleka tcu. Ajabu ni kwamba mkopo umetoka tofauti kabisa. Mkopo uko Archbishop Tabora. Sasa nashindwa kuelewa kama transfer yangu ililshindikana kwa nini wanipeleke Tabora? TCU KWA HILI HAMKUNITENDEA HAKI.