Mkopo

Mkopo

Davis chelsea

Member
Joined
Jul 28, 2011
Posts
93
Reaction score
10
wadau kama hukuomba mkopo kwa sasa unaweza kutumia njia gani kupata mkopo???
n.b achana na zile za kwenda msasani kutoa $$$$$
 
Olas imefungwa adi next year, ukilazimisha mwaka huu lazima utoe pesa na kupata bado ikawa kitendawili.
 
Hapo ni pesa tu lazima itumike..na yenyewe co uhakika aclimia mia kama watakupa
 
Wadau imaana kupata mkopo heslb,ni lanzima kwenda kule ukatoe chochote kitu,au?maana inazingua sana!inchi hii!sijui ni kiongozi kutoka wap,au chama gan ambaye atasema rushwa akuna,na ikawa kweli akuna!viongozi wa saiz wanaubili tu,rushwa akuna,lakini angalia real situation maofisi mbalimbali kama ayo heslb,ruahwa tuuuuuuuuuu,viongozi wetu awana makali!ni sawa na kisu butuuuuuuuuuuu!
 
Back
Top Bottom