Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba kuuliza. Atii ukiwa mwaka wa pili unaweza kuomba mkopo na ukapata? Au aiwezekani?
ar u a really unversity student?
Swali zuri sana, japo naona wana JF hawajalielewa vizuri! Naona ni kweli kuna utata kwa wanaoendelea na masomo (mwaka wa pili na kuendelea) kuomba mkopo kama freshers kwa njia inayotumika; Maombi kwa njia ya Mtandao (OLAS), kwa kuwa hakuna Link inayoonesha ni wapi watu hao wanaweza kufuata na kuomba maombi hayo!Naomba kuuliza. Atii ukiwa mwaka wa pili unaweza kuomba mkopo na ukapata? Au aiwezekani?