Mtu humuoni, hakuoni lakini anadhani uko hapa kumkosesha yeye raha au kupambana nae. Kama mtu hapendi/kujadiliana ni vizuri akawa mtazamaji tu ili asisumbuliwe na mtu.
She's freaky. I'll start calling her 'Freak nasty' lol.
your 'nasty' friend hah???????lol
NN if you were whispering to him then i heard you!!..
That name sounds so more like a 'BadGirl On the move'..i'm not like that jaman,spare mi NN & The Boss..
Otherwise..i'm doing soo fine..How about you..?
Yeahh that too. . .
Sasa sijui hizo pesa zinapunguza udhaifu wa hoja yake au inakuaje.
That one is not for me The Boss...Not fair kabisaaa!
Hahahaha. . . Sijui kwanini hua nasahau hii kitu wakati nahitaji.
Kauli za watu ambao wamekosa haja hapa jamvini.
1. Badala ya kujibu hoja anakugeuza wewe hoja : "una hasira, mmeo/mkeo hivi, boyfriend/girlfriend wako vile, umeachwa " wakati hakujui.
2. Badala ya kujibu hoja anadiscredit ulichouliza kwa kusema hujui kitu wakati yeye ndie alieshindwa kukujibu.
3. Badala ya kujibu hoja anaanzisha mada nyingine mpya kabisa.
4. Badala ya kujibu hoja anaanzisha matusi.
5. Badala ya kujibu hoja anaanza kudai "unatoa povu" ili tu uulize povu gani na kupoteza mlichokua mnajadili.
6. Badala ya kujibu hoja anakuita mbishi.
7. Badala ya kujibu hoja anakwambia usingechangia "hukuombwa/lazimishwa kuchangia" .
8. Ukitaka kuelewa point yake kuhusu tabia fulani anakwambia "wewe utakua hivyo hivyo" badala ya kukuelewesha.
9. Ukimuelewesha/jaribu kumrudisha kwenye mada anasema unamlazimisha kufikiri kama wewe.
. . . . . .
kwa mfano hapa nikiuliza hoja ya msingi haswa ni nini,kama sio kukosa hoja!nitakuwa mkosa hoja?
Mwingine utamuona anajisifia ooh mimi nina pesa, oo sijui my understanding capacity ni kubwa, mara ooh limekutouch.........dah!!
Hamna cha kupotezea wala nini, akileta pumba unamuongezea mashudu asiondoke bila kitu.
Kwa hiyo kama hakuna hoja ya msingi ndo tuseme we umeona hoja ya sekondari.
Kuna watu ambao kama kwao ndo wenye sauti basi hata kwenye mijadala wanataka waogopwe, kama ni boss ofisini kwake basi atataka atawale hata jukwaani, hata kama katumia lugha mbaya hataki aambiwe.........au anakwambia 'do you know who Iam'.......hahahah sijui nani kamwambia kuwa cheo chake ndo kila kitu!!!
tatizo hapa jamvini wengi wanataka kila mtu akubaliane au wengi wa wam support alicho
kiandika. na ukiienda kinyume na hapo ndo mambo yanabadiliaka na mtu anaanza kujifanya
anakujua ...tena anakwambia live "Tengeneza njia yako" .. Tukubaliane tu kila mtu ni tofati
na mawazo tofauti.. wote tukiwaza na kukubaliana kila jambo itakuwa "boring sana" weekend njema bana ...
Kauli za watu ambao wamekosa haja hapa jamvini.
1. Badala ya kujibu hoja anakugeuza wewe hoja : "una hasira, mmeo/mkeo hivi, boyfriend/girlfriend wako vile, umeachwa " wakati hakujui.
2. Badala ya kujibu hoja anadiscredit ulichouliza kwa kusema hujui kitu wakati yeye ndie alieshindwa kukujibu.
3. Badala ya kujibu hoja anaanzisha mada nyingine mpya kabisa.
4. Badala ya kujibu hoja anaanzisha matusi.
5. Badala ya kujibu hoja anaanza kudai "unatoa povu" ili tu uulize povu gani na kupoteza mlichokua mnajadili.
6. Badala ya kujibu hoja anakuita mbishi.
7. Badala ya kujibu hoja anakwambia usingechangia "hukuombwa/lazimishwa kuchangia" .
8. Ukitaka kuelewa point yake kuhusu tabia fulani anakwambia "wewe utakua hivyo hivyo" badala ya kukuelewesha.
9. Ukimuelewesha/jaribu kumrudisha kwenye mada anasema unamlazimisha kufikiri kama wewe.
. . . . . .
Kauli za watu ambao wamekosa haja hapa jamvini.
1. Badala ya kujibu hoja anakugeuza wewe hoja : "una hasira, mmeo/mkeo hivi, boyfriend/girlfriend wako vile, umeachwa " wakati hakujui.
2. Badala ya kujibu hoja anadiscredit ulichouliza kwa kusema hujui kitu wakati yeye ndie alieshindwa kukujibu.
3. Badala ya kujibu hoja anaanzisha mada nyingine mpya kabisa.
4. Badala ya kujibu hoja anaanzisha matusi.
5. Badala ya kujibu hoja anaanza kudai "unatoa povu" ili tu uulize povu gani na kupoteza mlichokua mnajadili.
6. Badala ya kujibu hoja anakuita mbishi.
7. Badala ya kujibu hoja anakwambia usingechangia "hukuombwa/lazimishwa kuchangia" .
8. Ukitaka kuelewa point yake kuhusu tabia fulani anakwambia "wewe utakua hivyo hivyo" badala ya kukuelewesha.
9. Ukimuelewesha/jaribu kumrudisha kwenye mada anasema unamlazimisha kufikiri kama wewe.
. . . . . .
Hiki ni kiwango cha chini kabisa cha kukosa hoja. Mtu hata kufika hatua ya kukutishia yeye ni nani basi elewa kuwa kama ana pesa basi ni mwizi au muuza unga, kama ni mwanasiasa basi ni mchakachuaji, kama ni afisa basi kabebwa au "kabeba" hadi kufikia hapo alipo, kama ni "msomi" basi kamaliza mabanda bila ya kupata elimu.Kuna watu ambao kama kwao ndo wenye sauti basi hata kwenye mijadala wanataka waogopwe, kama ni boss ofisini kwake basi atataka atawale hata jukwaani, hata kama katumia lugha mbaya hataki aambiwe.........au anakwambia 'do you know who Iam'.......hahahah sijui nani kamwambia kuwa cheo chake ndo kila kitu!!!