The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Ha ha ha ulikuwa ukijidanganya mwenyewe na mshua aliekuwa akikulipia ada :lol:
Mimi nilikuwa nayo madaftari lakini sikumbuki kukusanywa kuandikiwa vyema wala ovyo. Sijui ndicho kilichoniathiri kuwa sasa kuwaambia watu "vyema" sioni kuwa na umuhimu? :eyebrows:
Gaijin
if you dont mind nipo curious na the name of ur school...or the curriculum...