Ha ha ha ulikuwa ukijidanganya mwenyewe na mshua aliekuwa akikulipia ada :lol:
Mimi nilikuwa nayo madaftari lakini sikumbuki kukusanywa kuandikiwa vyema wala ovyo. Sijui ndicho kilichoniathiri kuwa sasa kuwaambia watu "vyema" sioni kuwa na umuhimu? :eyebrows:
Gaijin
if you dont mind nipo curious na the name of ur school...or the curriculum...
Well, the school name I mind, thank you
But the curriculum was approved by NECTA :tongue:
* Why the sudden curiosity?
it is a bit interesting....
i am still curious......i know very few school like that in tz, one in Arusha,the other is IST...
was urs one of them?
'your opinion is what matter'??? no good remarks or bad remarks????....
Hahaha Boss bana! Umesahau another option "home schooled"
Yeah, only exams are marked and if you don't like your grades you can appeal
*Don't you believe that 'your opinion is what matters'?
home school with NECTA? You are ducking the question i see lol....
my opinion on what?
what if you are not well informed?.....
Home school with private candidacy at NECTA :tongue:
No, unawapa wanafunzi basic knowledge inayohitajika lakini huwafungi katika "hii ni sahihi"...unamuacha afikiri atakavyo yeye hasa kwenye masuali ya social science and humanities
Lakini hata mathematics or physics sikuwahi kupewa home works na mwalimu kuchukua daftari na ku-grade. Tulikuwa tunafundishwa theory behind the subject, kisha tunafanya tutorials darasani, kazi kwisha.
interesting.....
from primary to high school?
hao walimu walitokea wapi????
Hii zaidi ni kuanzia form 1
Walimu mchanganyiko
Boss umenikumbusha mbali sana. Mwalimu wangu mmoja alikuwa ni atheist nipo form 2, basi akija darasani anaanza zake 'propaganda' na sie tukitoka shule tunazifikisha nyumbani.....:lol:
but i can see ame ku 'affect' hizo propaganda au????
Did you know that propaganda can be for something positive? :biggrin:
ha ha haa ha
i know that....but how will you know?
that you are not brainwashed????
I can't. Can you know that you have not been brainwashed?
ha ha haaa wewe bana.....lol...
you always shoot back ...lol
Vipi ulitaka an easy ride? Haya pole
what if i say i know i havent been brainwashed...??????lol
Bossman ulisoma boarding?