Atukuzwe Mungu
JF-Expert Member
- Jan 29, 2018
- 210
- 280
Ndiyo akasema ni kufanya upasuaji, wasiwasi je ubora wa kushiriki tendo la ndoa utakuwaje? Je hakuna matibabu mengineUlimwomba huu ushauri huyo daktari aliye kupima?
Maumivu ni makali sana?Ndiyo akasema ni kufanya upasuaji, wasiwasi je ubora wa kushiriki tendo la ndoa utakuwaje? Je hakuna matibabu mengine
Pole sana tendo la ndoa haliwezi kua muhimu kuliko afya yakoNdiyo akasema ni kufanya upasuaji, wasiwasi je ubora wa kushiriki tendo la ndoa utakuwaje? Je hakuna matibabu mengine
Ulimuona Urologist ama GP?! Kwenye hospitali kubwa maUrologist hawakosekani japokuwa hawapo wengi, wahi ukapate tiba ya tatizo lako.Ndiyo akasema ni kufanya upasuaji, wasiwasi je ubora wa kushiriki tendo la ndoa utakuwaje? Je hakuna matibabu mengine
Hiyo ni sababu mojawapo ya Ugumba kwa mwanaume. Jitahidi upate suluhuNdiyo akasema ni kufanya upasuaji, wasiwasi je ubora wa kushiriki tendo la ndoa utakuwaje? Je hakuna matibabu mengine
Hapana, Sina maumivu makali ila usumbufu tu wakati wa kutembea kwani nikiwa natembea korodani ya upande wa kushoto kama vile imeelemewa na uzito wa huo msokoto na kulazimisha kuingia mapajani wakati natembea. Pia nahisi joto kali sana sehemu ya korodani.Maumivu ni makali sana?
Ni sahihi mkuu, naomba ushauri wa kimatibabuHiyo ni sababu mojawapo ya Ugumba kwa mwanaume. Jitahidi upate suluhu
Suluhisho la kudumu ni upasuaji kama ulivyopewa maelekezo. Nenda Amana hospitali ama Sinza hospitali kuna Urologist watakusaidia.Ni sahihi mkuu, naomba ushauri wa kimatibabu
Tofauti na upasuaji unaweza fanyiwa embolization , ila pia ukifanyiwa operation haiathiri uwezo wako wa tendo ila inaboresha tofauti na ukibaki na tatizo, ila kuna mda pia wa kupona ili uweze kurudi Kawaida.Hapana, Sina maumivu makali ila usumbufu tu wakati wa kutembea kwani nikiwa natembea korodani ya upande wa kushoto kama vile imeelemewa na uzito wa huo msokoto na kulazimisha kuingia mapajani wakati natembea. Pia nahisi joto kali sana sehemu ya korodani.
Huyu itakua hana maumivu,huwezi kua na maumivu ukawaza tendo la ndoa,kwanza hata mnara hautasimama coz akili inakua imeconcentrate kwenye maumivu.Pole sana tendo la ndoa haliwezi kua muhimu kuliko afya yako
Pole sanaa
Oooh!! Asante sana mkuu, hiyo tiba kwa hapa Moshi Kilimanjaro napata hospital gani mkuuTofauti na upasuaji unaweza fanyiwa embolization , ila pia ukifanyiwa operation haiathiri uwezo wako wa tendo ila inaboresha tofauti na ukibaki na tatizo, ila kuna mda pia wa kupona ili uweze kurudi Kawaida.
Asante kwa ushauri mkuu, nipo Moshi KilimanjaroSuluhisho la kudumu ni upasuaji kama ulivyopewa maelekezo. Nenda Amana hospitali ama Sinza hospitali kuna Urologist watakusaidia.
Hospitali nyingi za private pia utawapata hususani kuanzia saa 10 jioni.
Kulinda uwezo wa tendo ni muhimu sana, Treat the disease preserve function.Pole sana tendo la ndoa haliwezi kua muhimu kuliko afya yako
Pole sanaa
Nenda KCMC. Kuna Urologist wakutosha katika idara yao.Asante kwa ushauri mkuu, nipo Moshi Kilimanjaro
KWISHAAAAANdiyo akasema ni kufanya upasuaji, wasiwasi je ubora wa kushiriki tendo la ndoa utakuwaje? Je hakuna matibabu mengine
Kcmc ila nakushauri fika pale seint Elmo karibu na crdb au famanic pharmacy. ukiwaambia boda wana kupeleka chapOooh!! Asante sana mkuu, hiyo tiba kwa hapa Moshi Kilimanjaro napata hospital gani mkuu
Hapana, nilimuona dokta wa fertility, nikaenda kufanya ultrasound ndo nikapewa hayo majibuUlimuona Urologist ama GP?! Kwenye hospitali kubwa maUrologist hawakosekani japokuwa hawapo wengi, wahi ukapate tiba ya tatizo lako.