Mkosokoto kwenye korodani ya kushoto

Mkosokoto kwenye korodani ya kushoto

Namliwaza asije kujitia kamba akidhani atakosa mbususu au kusimangwa

NB: mimi ni mtu wa matani sana sijui kununa😁

Kuna siku nilimuona jamaa mmoja hiv alikua anatoa pesa kwenye simu so nikawa nasubiri amalize ili niweke maana mimi nikua naweka
Nikamtania kaka wewe ni handsome 😍 please naomba no yako 😁😁 alishikwa butwaa akawa anacheka cheka ananiuliza serious?
Nikamwambia hapana nakutania
Basi watu waliokua pembeni wakacheeka basi ikawa imeisha
So sio kila kitu naongea nakua na maanisha sometime ni Jokes 😃
Aisee 😄

Lakini sometimes utani una expose ukweli ambao mtu hataki kuusema moja kwa moja…
so hapo unatania kweli au unaficha kitu kidogo? 🤔
 
Kazi nzito, wengine wanarithi tu na wapanda mlima , mfano case nyingi zipo kwa wale wapagazi wa mlima kilimanjaro
Nimekupata Mkuu, lakini Mgonjwa maelezo yake aliyopewa na daktari wake yanafikirisha sana 🤔

Kwenye wanaume 100, 15 wanao
 
Aisee 😄

Lakini sometimes utani una expose ukweli ambao mtu hataki kuusema moja kwa moja…
so hapo unatania kweli au unaficha kitu kidogo? 🤔
Hakuna kitu naficha hua sitanii ni
Kataa ndoa ndio hua ni serious kabisa

Mimi nikiamua sasa hivi kukuita darling sweetheart honey usilibebe maana nawaita wengi hivyo wanawake kwa wanaume 😁😁
 
Hakuna kitu naficha hua sitanii ni
Kataa ndoa ndio hua ni serious kabisa

Mimi nikiamua sasa hivi kukuita darling sweetheart honey usilibebe maana nawaita wengi hivyo wanawake kwa wanaume 😁😁
Ila unajua kuna tofauti kati ya utani na “experiment ya hisia za watu” au bado uko kwenye research?

Sasa Kuna muda mtu anaweza akatafsiri kama zali la mentali, mwingine akaona kama dua zimejibiwa.

Muujiza, daah halafu kumbe ni utani
 
You never know kijana mambo mengi
Unaweza kushangaa soulmate wako mnakutana bar time ya 🍺
 
Ulishwa wahi kuona watu mishipa ya miguu imekuwa mikubwa na imejikunja jikunja mno tofauti na kawaida?
Mimi nimewahi kuona dady
Kuna mtu ni ndugu yangu kabisa miguu yake ina mishipa mikubwa na ni kama imejikunja
Je yaweza kua nae ana hilo tatizo bila hata ya yeye kujua?
 
Bado Mkuu
Screenshot_2026-03-30_174729.jpg
 
Back
Top Bottom