HOST NOT FOUND
JF-Expert Member
- Dec 30, 2023
- 1,192
- 3,486
Sawa Mkuu,
Huu ugonjwa unaitwaje jina rasmi
Sawa Mkuu,
VaricoceleSawa Mkuu,
Huu ugonjwa unaitwaje jina rasmi
Mkuu umenichekesha unawaza tendo la ndoa tu 😀Ndiyo akasema ni kufanya upasuaji, wasiwasi je ubora wa kushiriki tendo la ndoa utakuwaje? Je hakuna matibabu mengine
Sema wewe una utani mwingiPole sana inaonekana stress ilikua kubwa wadau wamekupa muongozo kila la kheri katika matibabu yako
Bila hilo hakuna maana ya kuwa mwanamme kwa tafasiri yangu. Ndo maana huwa simfagilii sana anko TMkuu umenichekesha unawaza tendo la ndoa tu 😀
Utani gan sasa mtu najitajidi kukuonesha care hutaki ebooooSema wewe una utani mwingi
Omba uhai tu,ngono IPO tu.....unaweza ukawa unagonga ila uzalishi.....ila inshallah Allah atakutilia wepesi utakaa sawa idala zoteNdiyo akasema ni kufanya upasuaji, wasiwasi je ubora wa kushiriki tendo la ndoa utakuwaje? Je hakuna matibabu mengine
Unapata maumivu makali sana?Korodani yangu upande wa kushoto ina kama kamba zimejisokota, nimeenda hospital kufanya ultrasound Dokta akasema nina varicocele, matibabu ya kufanyiwa operation ili kutoa huo msokoto.
Hali hii imekuwa ikinipa usumbufu kama vile kuhisi joto kali kwenye korodani, miguu kusumbua kama nitasimama muda mrefu eg 20min.
Natafuta ushauri kuhusu changamoto ya Varicocele. Kama kuna mtu anajua daktari mzuri wa mfumo wa uzazi wa wanaume (Urologist) au ana uzoefu na jinsi matibabu yake yanavyokwenda, naomba anisaidie maelekezo.
😃😃Namliwaza asije kujitia kamba akidhani atakosa mbususu au kusimangwa
NB: mimi ni mtu wa matani sana sijui kununa😁
Kuna siku nilimuona jamaa mmoja hiv alikua anatoa pesa kwenye simu so nikawa nasubiri amalize ili niweke maana mimi nikua naweka
Nikamtania kaka wewe ni handsome 😍 please naomba no yako 😁😁 alishikwa butwaa akawa anacheka cheka ananiuliza serious?
Nikamwambia hapana nakutania
Basi watu waliokua pembeni wakacheeka basi ikawa imeisha
So sio kila kitu naongea nakua na maanisha sometime ni Jokes 😃
Embolization ni MIS(minimally invasive surgery) so ni better sana kama anataka kupona haraka na kupunguza matibabu ya muda mrefu ila ukiniuliza kama ni bora kuliko surgical intervation ya subinguinal.. nitakujibu NO!Tofauti na upasuaji unaweza fanyiwa embolization , ila pia ukifanyiwa operation haiathiri uwezo wako wa tendo ila inaboresha tofauti na ukibaki na tatizo, ila kuna mda pia wa kupona ili uweze kurudi Kawaida.
Yeah kabisa daktariEmbolization ni MIS(minimally invasive surgery) so ni better sana kama anataka kupona haraka na kupunguza matibabu ya muda mrefu ila ukiniuliza kama ni bora kuliko surgical intervation ya subinguinal.. nitakujibu NO!
kwanini!
surgical intervention ni better sana kwa sababu ina chances ndogo ya recurrence kuliko MIS-embolization,na chances zipo za kupata Hydrocele kuliko akifanya surgery so pendekezo langu afanye surgery bado Tanzania hatuna Masurgion wazuri wa kufanya MIS za urology japo za neoro-tuko vizuri pengine hatujajikita sana kwenye Mfumo wa mkojo..
Acha upbavu na swali la kipumbavu. Kuuliza hapa Kuna wataalamu Dunia nzima wanye uzoefu mbalimbali. Sasa kwa sababu daktari wake kamwambia hivi hawezi kupata jibu tofauti? hapa anaweza kushauriwa hata daktari mwingine bingwa zaidi na suala lake likawa rahisiUlimwomba huu ushauri huyo daktari aliye kupima?
Upo sawa ndugu🤔Acha upbavu na swali la kipumbavu. Kuuliza hapa Kuna wataalamu Dunia nzima wanye uzoefu mbalimbali. Sasa kwa sababu daktari wake kamwambia hivi hawezi kupata jibu tofauti? hapa anaweza kushauriwa hata daktari mwingine bingwa zaidi na suala lake likawa rahisi
Tatizo kubwa la madaktari ni kama mafundi. Kuna wenye MKONO mzuri lakini wengine pamoja na kwamba wamesoma Sana Ile art ya ufundi Hana hivyo kusabiisha makosa kwenye process na kugusa MIFUMO Mingine ilivyokuwa imetulia zake tuuli unaanza tatizo jingine. Na ilivyo Wana ujasiri hawawezi kusema hii siiwezi wao ni kisu tuuEmbolization ni MIS(minimally invasive surgery) so ni better sana kama anataka kupona haraka na kupunguza matibabu ya muda mrefu ila ukiniuliza kama ni bora kuliko surgical intervation ya subinguinal.. nitakujibu NO!
kwanini!
surgical intervention ni better sana kwa sababu ina chances ndogo ya recurrence kuliko MIS-embolization,na chances zipo za kupata Hydrocele kuliko akifanya surgery so pendekezo langu afanye surgery bado Tanzania hatuna Masurgion wazuri wa kufanya MIS za urology japo za neoro-tuko vizuri pengine hatujajikita sana kwenye Mfumo wa mkojo..
Na Hii shida ninanyo pia korodani ya kulia..Korodani yangu upande wa kushoto ina kama kamba zimejisokota, nimeenda hospital kufanya ultrasound Dokta akasema nina varicocele, matibabu ya kufanyiwa operation ili kutoa huo msokoto.
Hali hii imekuwa ikinipa usumbufu kama vile kuhisi joto kali kwenye korodani, miguu kusumbua kama nitasimama muda mrefu eg 20min.
Natafuta ushauri kuhusu changamoto ya Varicocele. Kama kuna mtu anajua daktari mzuri wa mfumo wa uzazi wa wanaume (Urologist) au ana uzoefu na jinsi matibabu yake yanavyokwenda, naomba anisaidie maelekezo.
Kuna mahali unawashwa 🤔 ila pia maoni yako ni mazuriAcha upbavu na swali la kipumbavu. Kuuliza hapa Kuna wataalamu Dunia nzima wanye uzoefu mbalimbali. Sasa kwa sababu daktari wake kamwambia hivi hawezi kupata jibu tofauti? hapa anaweza kushauriwa hata daktari mwingine bingwa zaidi na suala lake likawa rahisi
Matokeo ya bangi za utotoni na changaa wakati hela ya msosi Sasa una Meningitis hujijuiKuna mahali unawashwa 🤔 ila pia maoni yako ni mazuri
Mkuu Nani Nina shida kama ya jamaa Kwa hapa dark naweza fika hospital ipi au specific Dr yupi na wa wapi?!Kcmc ila nakushauri fika pale seint Elmo karibu na crdb au famanic pharmacy. ukiwaambia boda wana kupeleka chap
Mkuu kuwa serious hapa ni chit chat..Just imagine 😳
Hata hivyo nimejitolea endapo uwezo ukishuka nitakua nae bega kwa bega 😎
Stress zako ni mbaya sana weka namba uokote , upate hata supu na chapati .Matokeo ya bangi za utotoni na changaa wakati hela ya msosi Sasa una Meningitis hujijui