Mkosokoto kwenye korodani ya kushoto

Wake za watu sumu, badala ya kukubali upasuaji unafikiria kuendelea kula tunda kimasihara.
 
Kwa maoni yangu sio lazima kukimbilia kwenye upasuaji kwa uwelewa wangu hii nikiitazama sioni tofauti na ugonjwa wa kutokwa mishipa ( kuvimba kama mizizi vile) kwenye miguu (varicose veins) au kutokwa na bawasili yote husababishwa na uvimbe kwenye mishipa ya damu sasa hata ukifanyiwa upasuaji (moja ya aina ya matibabu kimsingi ziko aina nyingi) na bado inaweza kurudis pia sio guarantee ya kutokurudia.
Kwa njia ya dawa za asili, ikiwemo mafuta,dawa zakunywa na life style zikifanyika kwa usahihi basi matokeo yataonekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…