Umeamua kuchagua matukio kutimiza wazo lako la kubagaza na kubananga dini usioyoipenda
shida ni masheikhuislam wa kipuuzi huo ni wajinga tu hao sio waislam kamili
Hawezi kabisa, maana ukristo upo kiihiari Zaidi na sio kushurutisha watu.Swali? Mkristo anaweza akafanya hivyo dhidi ya Islamic?
Unashangaa mtu kupigwa kwa kuvaa mkufu ?Wanaompiga washamba na wajinga tu , hii wala haina uhusiano na din ni upumbavu binafsi wa hao vijana tu
Wahuni tu uislamu haupo ivoshida ni masheikh
Wahuni tu hao wapo kila sehemu usichotwe sana na hio video, mimi picha ya yule kasisi alieangukiwa na msalaba akiwa anaendesha misa bado ipo kichwani tuIla binadamu ni mjinga sana. Dini ndio inafanya tunamchukia binadamu mwenzako?. Hiyo naye alienda huko kufanya Nini?
DuuuuhKatiba yao ishaweka wazi ukibadili dini kuwa mkristo wanakuua
Ukristo pia ulijengwa kwa sheria tu kama hizo baada ya kukua wakalegeza tu, ni vile tu mavi ya kale hayanuki.Huo ndio uhalisia
ni sawa na Saudi Arabia ukikutwa unasoma au kuonyesha Biblia hadharani, ni jambo zito sana na linaweza kusababisha adhabu kali za kisheria, ikiwa ni pamoja na kukamatwa, kuwekwa kizuizini, kufungwa gerezani, au kufukuzwa nchini.
Katiba yao ishaweka wazi ukibadili dini kuwa mkristo wanakuua
Unashangaa mtu kupigwa kwa kuvaa mkufu ?Wahuni tu uislamu haupo ivo