Mkristo apokea kipigo baada ya kuvaa mkufu wenye msalaba katika nchi iliyojaa waislam wenye msimamo mkali wa kidini,

Mkristo apokea kipigo baada ya kuvaa mkufu wenye msalaba katika nchi iliyojaa waislam wenye msimamo mkali wa kidini,

Ukristo pia ulijengwa kwa sheria tu kama hizo baada ya kukua wakalegeza tu, ni vile tu mavi ya kale hayanuki.
Twende kwa facts, umewahi kuona wapi Mkristo anampiga muislam kavaa kanzu huku akitoa sababu ni katika jina la Yesu ?
 
Unashangaa mtu kupigwa kwa kuvaa mkufu ?

Saudi Arabia Katiba yao imetoa ruhusa ya kuua ataebadili dini kuwa mkristo.

Na ukikutwa unasoma au kuonyesha Biblia hadharani, ni jambo zito sana na linaweza kusababisha adhabu kali za kisheria, ikiwa ni pamoja na kukamatwa, kuwekwa kizuizini, kufungwa gerezani, au kufukuzwa nchini.
Saudi arabia sio ndio definition ya uislam wajinga wapo kwenye kila imani
 
Saudi arabia sio ndio definition ya uislam wajinga wapo kwenye kila imani
Kiboko yao Pakistan na Afghanistan, kuna blasphemy laws (sheria za kukashifu dini). Mkristo anasingiziwa amekosoa uislam, anauawa au kanisa zima linachomwa moto, hakuna kesi, maisha yanaendelea.
 
Back
Top Bottom