Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 2,188
- 4,116
Hizi dini mbili kubwa Tz hii zote zumepetwa. Wazazi waliozipokea wamerithisha watoto wao. So, wengi wako kwenye dini si kwa sababu wameitafuta na kujua ni ya kweli au inawafaa. Ni kwa sababu hasa tumepewa na wazazi wetu. Nao waliitoa kwa waarabu na wazungu.
Kwa hiyo watanzania wengi wako kwenye dini fulani sababu wamezaliwa humo. Hivi umewahi piga picha ungezaliwa wazazi wakiwa dini tofauti na wewe kuwa wa dini hiyo? Unajiona kama ungezaliwa dini hiyo ungeikacha na kuhamia hii uliyopo unayoona ni sahihi kabisa?