Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 2,188
- 4,116
Wake 4 ,urahisi wa kuachana,talaka(ukiwa huna hela)Hivi Uislam una kipi cha kuvutia?
I mean, seriously...Yaani mtu anavutika na nini kwenye hiyo dini kwa mfano?
Hizi dini mbili kubwa Tz hii zote zumepetwa. Wazazi waliozipokea wamerithisha watoto wao. So, wengi wako kwenye dini si kwa sababu wameitafuta na kujua ni ya kweli au inawafaa. Ni kwa sababu hasa tumepewa na wazazi wetu. Nao waliitoa kwa waarabu na wazungu.
Kwa hiyo watanzania wengi wako kwenye dini fulani sababu wamezaliwa humo. Hivi umewahi piga picha ungezaliwa wazazi wakiwa dini tofauti na wewe kuwa wa dini hiyo? Unajiona kama ungezaliwa dini hiyo ungeikacha na kuhamia hii uliyopo unayoona ni sahihi kabisa?
Vingi sana kuanzia usafi,jinsi ya kumuabudu mungu nkHivi Uislam una kipi cha kuvutia?
I mean, seriously...Yaani mtu anavutika na nini kwenye hiyo dini kwa mfano?
Una uhakika?Wake 4 ,urahisi wa kuachana,talaka(ukiwa huna hela)
Wake wa 4 kwa ulimwengu wa karne ya 21 sioni manufaa yake, zaidi ya sex tu.Wake 4 ,urahisi wa kuachana,talaka(ukiwa huna hela)
Usafi upi huo? Wasio kuwa na dini ya kiislam sio wasafi?Vingi sana kuanzia usafi,jinsi ya kumuabudu mungu nk
Jinsi ya kumuabudi mungu?Vingi sana kuanzia usafi,jinsi ya kumuabudu mungu nk
Bikira za wanawake 72 akhera kwa alla.Hivi Uislam una kipi cha kuvutia?
I mean, seriously...Yaani mtu anavutika na nini kwenye hiyo dini kwa mfano?
Umeelewa kweli?Tumekuelewa.
Una-suggest nini Sasa?
HaswaaaahMimi sivutiwi na dini yoyote baina ya hizo zote mbili maana zimejaa wafia dini mazuzu hadi kubaguana, kutukanana na kuuuana sisi kwa sisi toka kwa Wazungu na Waarabu waliozileta Africa.
Nasisitiza UPENDO, UPENDO, UPENDO.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Mm kwangu nataman sana nihamir uislamu japokua mm ni mkristo kwababa na mama ni muislamu roho yngu itamfata mama
inshaallah kaka tumuombe mungu one day tuKaribu katika uislamu kaka