Mkubwa Fella adai hakuna msanii anastahili kulinganishwa na Diamond Platnumz Bongo

Nguvu inayotumia kutukumbusha ukubwa wa diamondplatnumz ndio inatupa mashaka.

Hakuna msanii mwenye view nyingi youtube.

Hakuna msanii mwenye RR cullinan

Hakuna msanii mwenye pesa nyingi bank

Hakuna msanii mwenye leble kubwa kama wcb

isipokuwa diamond platnums,ila sasa daaaah
 
Hakuna msanii mwenye international collable na wasanii wakubwa Kama yy.
 
Wewe unasema diamond sio super star ukiwa wapi?Diamond ni super star pekee anaeiwakilisha tz...Tembea uone na usikie sio upo huko Tanzania halafu unajifanya unajua
 
Wewe unasema diamond sio super star ukiwa wapi?Diamond ni super star pekee anaeiwakilisha tz...Tembea uone na usikie sio upo huko Tanzania halafu unajifanya unajua
Diamond sio super star ni star, super star ni ndoto ambayo anaota kuja kuwa hivyo hapo mbeleni
 
Nachojua hakuna msanii nchini aliyewahi kustahimili kufanya intavyuu katika kipindi cha kiangazi jijini Dar es Salaam huku amevaa nguo nzito zinazofaa kwa matumizi kwenye nchi zenye baridi kali kwa muda mrefu zaidi ya Harmonzier...hiyo rekodi hakuna mtu mwingine anayeweza kuivunja🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…