Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ujinga... usingejistukia
hao waliokimbia mbona ndio waliofulia ?Hawa jamaa ni matapeli Sana ndo maana kina nature mb dog kasim mganga na Keisha pamoja na z an to walikuwa hawalipwi pesa zao wanadi had I kesho na ukiondoka kwenye himaya yao lazima wakupoteze
Soma comment yangu vizuri mkuuhao waliokimbia mbona ndio waliofulia ?
hakuna guarantee kuwa video itakulipa hata kama ni ya milioni 100Sasa angejenga nyumba tu than? Yeye ni mfanyabiashara na anatakiwa awekeze mtaji kwenye video. Nyumba itakuja tu
Fella is like a father to him na hana njaa ndogo ndogo kama hizo, japokuwa ana njaaLabda Fella kapiga cha huu, dogo hajui hata bei ya baiskeli mission town lazima wale ganji kubwa
Halafu utakuzoea,matekeo yake nawe unajiona mjanja kuwazidi kumbe ni kubwa la wajinga,hahahaha,bongo washika mikono wengi ukipenda sana kushikwa jiandae kuaribu.Ujinga ni kama ugonjwa ukikaa na wajinga unaambukizwa