Teh teh..Hajapishana sana na Dogo AslayIna maana Mkubwa Fella ana miaka 36 tu?
"..Na ney wa mitego awe Mkuu wa majeshi"Mkubwa fella amesema anajipanga kugombea urais wa jamhuri ya muungano wa tanzania mwaka 2040 atakapokua na umri wa miaka 60.
Fella kwa sasa ni diwani wa kata ya Kilungule, Halmashauri ya Mbagala Jijini Dar es Salaam.
Chanzo: Bongo5.com
Yah kama ya Maji marefuVp ana degree?
Kwa mujibu wa katiba
[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yah kama ya Maji marefu
Mkuu mpinzani wako huyo maana na wewe ulisema unataka kugombea urais wa AKUDO.Urais Upi Labda?
Naomba Unisaidie Kumuuliza Ili Nijue Ili Kusudi Kama Ni Huu Huu Urais Wa Ukweli Ukweli Basi Tunaomjua Tuanze Kufunguka Mapema Kwani Kwa Hizi AJALI Za KAFARA, Magonjwa Ya ZIKA Na UKIMWI Na Huku KUROGANA Kwetu Watanzania KULIKOTUKUKA Pengine Huo Mwaka 2040 Tusiwepo!
- Wa Wavuta Bangi / Bange?
- Wa Kuwanyonya Wasanii?
- Wa Wapiga Dili Za Unga Hapo Mjini?
- Wa Wapenda Kutembea Na Wake Za Watu?
- Wa Wanaoishi Kiujanja Ujanja Hapa Town?
sawa kabisa."..Na ney wa mitego awe Mkuu wa majeshi"
naona mna mkashifu sana huyu jamaa bila kujua kuwa ni diwani sasa hivi, na anaweza akawa mbunge 2020 kwani ni mtu anayeweza kusimamia kazi kwa ufanisi sana
tafuteni historia yake kabla ya kuanza kumkashifu