Mkubwa Fella kugombea Urais wa Jamhuri 2040

Mkubwa Fella kugombea Urais wa Jamhuri 2040

Yaani bora hata usitafute hiyo historia yake, maana utakuja kugundua hata huo udiwani hafai.
sema usikike hii ni jamiiforums where we dare to speak freely
 
Mbona Kikwete alichaguliwa?kwanini na yeye asichaguliwe?don't underestimate the ignorance of Tanzanians.
 
Hivi Mkubwa Fela na Mrisho Mpoto wanaundugu? Naona wamefanana Sana.
 
Huyu mkubwa fella asiejua kuandika kama hamuamini pitieni Page yake kule Insta na Fb Ni kichekesho. Mungu atuepushe na laana Hii.
 
Kwanza mwaka 2040 Jamhuri ya muungano itakuwa ishavunjika, tutakuwa na serikali yetu ya Tanganyika ambayo hatutaki wapuuzi wapuuzi watuletee Bongo movie ikulu.
 
Akiwa raisi na huu utaratibu wa nchi za kiafrika basi tutegemee wale wanamuziki wake wote anao wasimamia kupewa uwaziri, u-dc na u-rc. Itapendezaje! Huku mh.Temba waziri wa ulinzi, dogo nani yule.... waziri wa jinsia ,vijana na watoto!
 
me naona yupo sahihi kabisa kwa facts zifuatazo. 1.kutakuwa na ongezeko kubwa la vijana wanaotembea huku suruali zikiwa mapajani.2.kwa sasa inaonyesha kila familia kuna msanii,sasa kama kutakuwa na ongezeko ataukwaa mapema sana
 
Urais Upi Labda?
  • Wa Wavuta Bangi / Bange?
  • Wa Kuwanyonya Wasanii?
  • Wa Wapiga Dili Za Unga Hapo Mjini?
  • Wa Wapenda Kutembea Na Wake Za Watu?
  • Wa Wanaoishi Kiujanja Ujanja Hapa Town?
Naomba Unisaidie Kumuuliza Ili Nijue Ili Kusudi Kama Ni Huu Huu Urais Wa Ukweli Ukweli Basi Tunaomjua Tuanze Kufunguka Mapema Kwani Kwa Hizi AJALI Za KAFARA, Magonjwa Ya ZIKA Na UKIMWI Na Huku KUROGANA Kwetu Watanzania KULIKOTUKUKA Pengine Huo Mwaka 2040 Tusiwepo!
Mkuu mpinzani wako huyo maana na wewe ulisema unataka kugombea urais wa AKUDO.
 
naona mna mkashifu sana huyu jamaa bila kujua kuwa ni diwani sasa hivi, na anaweza akawa mbunge 2020 kwani ni mtu anayeweza kusimamia kazi kwa ufanisi sana
tafuteni historia yake kabla ya kuanza kumkashifu

Historia ipi ? ile ya south Africa
 
Back
Top Bottom