Hahahaaaa kipaji kinaishaga acha kunivunja mbavu mie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unatumia vigezo gani kusema ameshindwa kujimanage....unaweza kuta kipaji cha kuimba kimeisha na kimeanza cha umeneja😉
Hahahaaaa kipaji kinaishaga acha kunivunja mbavu mie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona Bi kidude ameondoka na kipaji chake , kipaji unazaliwa nacho unakufa nacho , papa wemba alikufa na miaka mingapi lakn kafia jukwaani itakuwa huyo temba hata 35 cjui Kama amefikishaKipaji kinaisha bana...kwani hulijui hili
Mbona Bi kidude ameondoka na kipaji chake , kipaji unazaliwa nacho unakufa nacho , papa wemba alikufa na miaka mingapi lakn kafia jukwaani itakuwa huyo temba hata 35 cjui Kama amefikisha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] now I got uInategemea kipaji cha nini na ulikipataje....si wajua tena vingine ni msaada kutoka gamboshi...natania tu lakini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] now I got u
KulaNa wewe kipaji chako kipi....maana wengine vipaji vyao hadi jua litue😀
Kula
Kula Milo yoteKula nini...au dinner
Kula Milo yote
Kwann uniogope[emoji15]Basi nimekuogopa...maaana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] labda temba ndo masharti alomwambia mgangaTooth pick huwa tunaziacha dinning room sio kitu cha kutembea nacho kila mahali
[emoji23] [emoji23]Na
Naogopa kupatwa....
[emoji23] [emoji23]
mhhh kaacha ulevi
why unawaza kufeli?Mmmh naona anguko la yamoto linakuja
Temba hawez kuongoza kundi labda Kama kila mmoja atatoka kivyake temba toka 2000 mpaka 2016 bado anaongozwa ataweza kuongoza kundiwhy unawaza kufeli?
Temba hawez kuongoza kundi labda Kama kila mmoja atatoka kivyake temba toka 2000 mpaka 2016 bado anaongozwa ataweza kuongoza kundi