Mkubwa Fella kustaafu, kumwachia Temba Yamoto Band

Mkubwa Fella kustaafu, kumwachia Temba Yamoto Band

Unatumia vigezo gani kusema ameshindwa kujimanage....unaweza kuta kipaji cha kuimba kimeisha na kimeanza cha umeneja😉
Hahahaaaa kipaji kinaishaga acha kunivunja mbavu mie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kipaji kinaisha bana...kwani hulijui hili
Mbona Bi kidude ameondoka na kipaji chake , kipaji unazaliwa nacho unakufa nacho , papa wemba alikufa na miaka mingapi lakn kafia jukwaani itakuwa huyo temba hata 35 cjui Kama amefikisha
 
Mbona Bi kidude ameondoka na kipaji chake , kipaji unazaliwa nacho unakufa nacho , papa wemba alikufa na miaka mingapi lakn kafia jukwaani itakuwa huyo temba hata 35 cjui Kama amefikisha

Inategemea kipaji cha nini na ulikipataje....si wajua tena vingine ni msaada kutoka gamboshi...natania tu lakini
 
Mkubwa Fella aliwashindwa TMK ya Juma Nature, lkn akawamudu waliobaki, akawamudu YA MOTO, so kuwa managed kwa miaka mingi, inaweza kumsaidia kuwamudu YA MOTO. Huwa inatokea wachezaji wa zamani kuwa makocha wazuri, mf. kibadeni, mexime, madundo, zizzou, simione, rijkaard!

Temba hawez kuongoza kundi labda Kama kila mmoja atatoka kivyake temba toka 2000 mpaka 2016 bado anaongozwa ataweza kuongoza kundi
 
Back
Top Bottom