PreGE2025 Mkuchika akabidhi pikipiki 7 zenye thamani ya shilingi milioni 22 kwa vijana wa Kakonko

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mpepetaji

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2025
Posts
346
Reaction score
213
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum), Mhe.George Mkuchika amekabihi pikipiki Saba zenye Thamani ya Shilingi Mil.22 kwa kikundi cha waendesha pikipiki (bodaboda) Itumbiko kilichopo Wilayani Kakonko ikiwa ni Fedha za mkopo Asilimia Kumi unaotolewa na Halmashauri kwa Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu.

Akikabidhi pikipiki hizo kwenye kikundi hicho chenye wanachanma 11akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji ilani ya uchaguzi 2020/2025 Wilayani Kakonko, Waziri Mkuchika amewasisitiza wana kikundi hao kuhakikisha wanarejesha mkopo huo ili kuwezesha Vijana wengine kukopa.

Akisoma taarifa ya uwezeshaji kiuchumi kwa wanawake vijana na watu wenye ulemavu, Afisa Maendeleo ya Jamii Wilaya ya Kakonko, Mustafa Mtungwe amesema kikundi cha bodaboda Itumbiko kimekopeshwa mkopo kwa mara ya pili ambapo hapo awali walikopeshwa shilingi milioni 10 kwa ajili ya pikipiki 4 na walifanikiwa kuzirejesha kwa wakati.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ameongeza kuwa katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya sita, Halmashauri imetoa mikopo inayotokana na tengo la 10% kutoka mapato ya ndani kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na watu wenye ulemavu 25 kiasi cha Shilingi 406,000,000 kwa vikundi 25 ambapo vya wanawake ni 10, vijana ni 10 na watu wenye ulemavu vitano.

Akitoa shukrani kwa Mheshimiwa Rais Dkt.Samia Suluhu, Diwani wa Viti Maalum Tarafa ya Kakonko, Mhe.Hamisa Nyamaliza ameeleza kuwa anashukuru kurejeshvwa kwa utaratibu wa utoaji mikopo ya 10% kwani imekuwa chachu ya maendeleo kwa makundi lengwa.
#HABARI- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum), Mhe.George Mkuchika amekabihi pik...jpg
#HABARI- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum), Mhe.George Mkuchika amekabihi pik...jpg
 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum), Mhe.George Mkuchika amekabihi pikipiki Saba zenye Thamani ya Shilingi Mil.22 kwa kikundi cha waendesha pikipiki (bodaboda) Itumbiko kilichopo Wilayani Kakonko ikiwa ni Fedha za mkopo Asilimia Kumi unaotolewa na Halmashauri kwa Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu.

Akikabidhi pikipiki hizo kwenye kikundi hicho chenye wanachanma 11akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji ilani ya uchaguzi 2020/2025 Wilayani Kakonko, Waziri Mkuchika amewasisitiza wana kikundi hao kuhakikisha wanarejesha mkopo huo ili kuwezesha Vijana wengine kukopa.

Akisoma taarifa ya uwezeshaji kiuchumi kwa wanawake vijana na watu wenye ulemavu, Afisa Maendeleo ya Jamii Wilaya ya Kakonko, Mustafa Mtungwe amesema kikundi cha bodaboda Itumbiko kimekopeshwa mkopo kwa mara ya pili ambapo hapo awali walikopeshwa shilingi milioni 10 kwa ajili ya pikipiki 4 na walifanikiwa kuzirejesha kwa wakati.

Ameongeza kuwa katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya sita, Halmashauri imetoa mikopo inayotokana na tengo la 10% kutoka mapato ya ndani kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na watu wenye ulemavu 25 kiasi cha Shilingi 406,000,000 kwa vikundi 25 ambapo vya wanawake ni 10, vijana ni 10 na watu wenye ulemavu vitano.

Akitoa shukrani kwa Mheshimiwa Rais Dkt.Samia Suluhu, Diwani wa Viti Maalum Tarafa ya Kakonko, Mhe.Hamisa Nyamaliza ameeleza kuwa anashukuru kurejeshvwa kwa utaratibu wa utoaji mikopo ya 10% kwani imekuwa chachu ya maendeleo kwa makundi lengwa.View attachment 3294992View attachment 3294993

Watanzania ni wakati sasa wa kususia biashara za hawa wezi wa mali za umma.

MwanaCCM mwenye boda boda hakuna kuipanda bora kutembea kwa miguu .
Kama ana saluni akaweka bendera ya CCM hakuna kuingia kusuka au kunyoa .

Kama ana basi ana basi la abiria hakuna kupanda bora kuchelewa.

Iwe hivyo pia kwa wale G55 wa Chadema .

Hawa watu wanatudharau sana .

Badala ya kushusha ushuru wa kuingiza pikipiki wao wanaongeza ushuru ili tufidie pesa wanazotuibia kisha wanatumia pesa hizo kutuhonga ili tuwaone ni watu wema .
Hawaounguzi matumizi ya anasa lakini wana pesa za kuhonga .

Wanatoa rushwa halafu wanategemea polisi kushinda huu ni upumbavu .
 
Ccm wamekufanya nini?
 
Ccm wamekufanya nini?

Wametuwekea wabunge wa hovyo wa kuunga mkono kila kitu mpaka bandari zinauzwa bila hata kukosoa na kuangalia vizazi vijavyo .

Wametutungia katiba na sheria za hovyo sana .
Mpaka mishara na viinua mgongo wa wenza wa watawala .

Kama ni uzalendo kwa nini mke wa CDF au IGP naye asilipwe kiinua mgongo au mshahara ? Au umuhimu wao hauonekani kwa sababu kuna amani ?
 
Mkuchika miaka 60 bungeni pale tandahimba na Newala umeme ni Majanga
 
Back
Top Bottom