Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Nasikia mnaikabidhi kwa mzee wa panoneYanga sijui itakuja kuimarika lini aiseee?!?!?!?!,
Sent from Nokia 7 Plus
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia mnaikabidhi kwa mzee wa panoneYanga sijui itakuja kuimarika lini aiseee?!?!?!?!,
Sent from Nokia 7 Plus
Wakikosa kombe la AzamConfCup (maana TPL wameshaikosa) ndio kabisaa,itakuwa hatari
Unapata wapi ujasiri wa kumwita senior minister kilaza?
Labda tukiitoa Simba kwenye mchakato ndio itakuwa kila timu.TPL haijaisha ... Bado sana... Mpaka sasa kila team ina nafasi ya kuchukua Kombe.
Labda tukiitoa Simba kwenye mchakato ndio itakuwa kila timu.
Nyie yanga ndiyo maana mnaitwa vyura vyurani huyu mkuchika aliposema manji anarudi tarehe 15 kama sikosei mlimshangalia, lakini mzee akilimali alimpinga akasema huyu mkuchika sio mkweli, mlimtukana sana mzee akilimali kwa kumpinga mkuchika.yanga mtu pekee atakaeiweza ni manji wengine wote ni wachumia tumbo