kweli kuna watu mnaangaliaga nyuma ya TVKwakweli mimi ni simba ila huyu mkude si wa kucheza taifa
Hata pale simba hana kiwango cha kucheza, huenda ni bahati ilimbeba
Ukiongeza na nidhamu ndogo, ndio hafai kabisa.
Amunike ni takataka unamuweka NYONI wakati mkude yupo kiufupi bongo hakuna kama mkude apo dimbaMkude ni moja ya wachezaji wasio na washindani wa kueleweka miaka nenda pale simba
Ukiangalia hata kwenye mechi za kimataifa, eneo linalotugalimu ni hapo kwenye kiungo mkabaji na beki ya kati.
Pia tuna safari ndefu ya kujua matumizi ya herufi " R" na" L"nimepitia maoni ya wachangiaji wengi nilicho kigundua bado tuna safali ndefu kuujua mpila kama kazi yamkude amuioni safari nindefu sana
Mkuu pia tuna safari ndefu sana kwenye suala la uandishi yaani umeandika kama darasa la pili Bnimepitia maoni ya wachangiaji wengi nilicho kigundua bado tuna safali ndefu kuujua mpila kama kazi yamkude amuioni safari nindefu sana