Mkude asema Hakuna zaidi ya Simba, akanusha kuibwaga timu ya Taifa

Mkude asema Hakuna zaidi ya Simba, akanusha kuibwaga timu ya Taifa

Mkude ni moja ya wachezaji wasio na washindani wa kueleweka miaka nenda pale simba

Ukiangalia hata kwenye mechi za kimataifa, eneo linalotugalimu ni hapo kwenye kiungo mkabaji na beki ya kati.
Amunike ni takataka unamuweka NYONI wakati mkude yupo kiufupi bongo hakuna kama mkude apo dimba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
acheni upupu hapa Hebu twambieni mchezaji Tanzania hii anayefiti kwenye namba ya mkude.....(au fei toto hahaaa vyuraa)
 
Naona wataalamu wa Soka wanajadili Mkude...!hata iweje Mkude Ni Mojawapo wa viungo Bora walio wahi kutokea Tz
 
nimepitia maoni ya wachangiaji wengi nilicho kigundua bado tuna safali ndefu kuujua mpila kama kazi yamkude amuioni safari nindefu sana
 
nimepitia maoni ya wachangiaji wengi nilicho kigundua bado tuna safali ndefu kuujua mpila kama kazi yamkude amuioni safari nindefu sana
Mkuu pia tuna safari ndefu sana kwenye suala la uandishi yaani umeandika kama darasa la pili B
 
We Mkude kama ungekuwa na mpira wa maana usingeozea Msimbazi kilichobaki ni kusema mimi simba damu ovyo
 
Back
Top Bottom