alipomtembelea tena mjomba wake kwa mara ya pili siku moja wakati anavuka barabara pale Manzese aligongwa na gari akafa.Gari ile ilikuwa ni ya balozi anaewakilisha nchi yake hapa bongo.Basi mambo yalienda hivi kule kwao Mvuha,''mwe Mkude kafa kifo kizuri,kagongwa na gari ya balozi"Waluguru kwa sifa za kijinga siwawezi!Hebu cheki sentensi hizi. (i)Mkude gangwe kweli,kafukuzwa na simba toka porini kaja kamatiwa mlangoni! (ii)Mkude gangwe sana,kaenda mjini,kaibiwa viatu,karudi na ndala. (iii)Mkude alipokwenda kwa mjombake dar,aliiona fan(feni) na taa ya bulb kwa mara ya kwanza.Aliporudi kijijini matombo akasimulia kama ifuatavyo,"mjomba Mloka kaendelea sana,ana kipepea upepo,kinageuka kwa mjomba,kinageukia kwangu halafu kinamalizia kwa shangazi halafu vibuyu(bulb) vya mjomba ukigusa ukuta tu vinawaka.
Hii kali,alipoenda mara ya tatu je?alipomtembelea tena mjomba wake kwa mara ya pili siku moja wakati anavuka barabara pale Manzese aligongwa na gari akafa.Gari ile ilikuwa ni ya balozi anaewakilisha nchi yake hapa bongo.Basi mambo yalienda hivi kule kwao Mvuha,''mwe Mkude kafa kifo kizuri,kagongwa na gari ya balozi"
Mkude gangwe kweli, aliporwa mke na diwani wetu!..
Waluguru kwa sifa za kijinga siwawezi!Hebu cheki sentensi hizi. (i)Mkude gangwe kweli,kafukuzwa na simba toka porini kaja kamatiwa mlangoni! (ii)Mkude gangwe sana,kaenda mjini,kaibiwa viatu,karudi na ndala. (iii)Mkude alipokwenda kwa mjombake dar,aliiona fan(feni) na taa ya bulb kwa mara ya kwanza.Aliporudi kijijini matombo akasimulia kama ifuatavyo,"mjomba Mloka kaendelea sana,ana kipepea upepo,kinageuka kwa mjomba,kinageukia kwangu halafu kinamalizia kwa shangazi halafu vibuyu(bulb) vya mjomba ukigusa ukuta tu vinawaka.
Acha ukabila mr