Jaguar
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,437
- 1,027
Waluguru kwa sifa za kijinga siwawezi!Hebu cheki sentensi hizi. (i)Mkude gangwe kweli,kafukuzwa na simba toka porini kaja kamatiwa mlangoni! (ii)Mkude gangwe sana,kaenda mjini,kaibiwa viatu,karudi na ndala. (iii)Mkude alipokwenda kwa mjombake dar,aliiona fan(feni) na taa ya bulb kwa mara ya kwanza.Aliporudi kijijini matombo akasimulia kama ifuatavyo,"mjomba Mloka kaendelea sana,ana kipepea upepo,kinageuka kwa mjomba,kinageukia kwangu halafu kinamalizia kwa shangazi halafu vibuyu(bulb) vya mjomba ukigusa ukuta tu vinawaka.