Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
mkude gangwe,kakataza ukabila JF
Hahahahaaaaa, mbavu zangu miieeeee, kumbe Mkude ndio huyu jamaaaa!! Gnt
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkude gangwe,kakataza ukabila JF
Mkude gangwe kavuliwa mpaka chupi bado anasubiri ushahidi kamili. Dudu aingie ndani.
mkude gagwe kakaa karibu na dereva ili afike upesi
mkude gangwe,kakataza ukabila JF
hahaa,sina mbavumkude gagwe kakaa karibu na dereva ili afike upesi
ahaaa,.mkude basi mkali..!!Mkude gangwe alijikwaa mlimani akiwa kabeba tenga la maboga boga 1 lika vingirika basi akafurahi ile mbaya,... kumbe mnaweza kutembea wenyewe akamwaga tenga zima akabaki na tenga tupu , ... tangulieni sokoni ntawakuta
Ayaaaah,mkude kaharibu kabyser!Mkude Gangwe, alienda hospitali kung'oa jino moja linalouma, akaishia kung'olewa yote kwa sababu daktari kamwambia bei ya kung'oa jino moja ni shilingi elfu tano na hata uking'oa yote bei ni hiyo hiyo. Alipofika nyumbani huku akiwa kibogoyo kabisa akamsifia Mamakoba kuwa kamkomoa daktari.