Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja na usajili mkubwa uliofanywa na Simba lakini Mzamiru bado anaanza, Mkude bado Gamondi anamtumia kwenye mechi za mkakati, mfano dhidi ya mamelods. Fadlu na gamondi ni makocha wakubwa sana nchini.Hao wazee acha wale pension
USSR
Pamoja na usajili mkubwa uliofanywa na Simba lakini Mzamiru bado anaanza, Mkude bado Gamondi anamtumia kwenye mechi za mkakati, mfano dhidi ya mamelods. Fadlu na gamondi ni makocha wakubwa sana nchini.Hao wazee acha wale pension
USSR
Mzamiru anaweza kucheza mechi zenye wachezaji korofi kama za waarabu. Tusidanganyane, ushindi wetu kule Ivory coast ni Mungu TU alikuwa na sisi.Labda Mkude huyo Mzamiru ni kwa vile makolo hakuna wachezaji kiwango chake ni kidogo mno
Mkude mmemsajili Simba akiwa anakaa benchiLabda Mkude huyo Mzamiru ni kwa vile makolo hakuna wachezaji kiwango chake ni kidogo mno
Tunaangalia kiwango sio umri wao. Akina modrick, Ronaldo C, Messi, RamsomWatanzania mnachokita hamkijui?
Mlisema timu inawazee hawachezi kwa kujituma leo hii tena vijana hawawezi.
Ukiwa mtanzania tu unajiondoa kwenye viumbe wenye akili unakuwa mjingamjinga
Kibu unamzungumziaje?Tunaangalia kiwango sio umri wao. Akina modrick, Ronaldo C, Messi, Ramsom
Basi tukae kwa kutuliaTunaangalia kiwango sio umri wao. Akina modrick, Ronaldo C, Messi, Ramsom
Lile goli ilikuwa ni fluke iliyozaa matunda. Hata yeye ukimuuliza ilikuwaje atakwambia hata yeye hajui alilifungaje, maana hawezi kurudia kufunga kama vile Tena.Kuna mtoto pepa la juzi kaotea kapiga A saivi ukoo mzma unamzngatia wanataka wamnunulie vitabu na mkebe mpya wampeleke na twishen nzuri
Navomjua huyu dogo asivopenda kusifiwa atatepeta kwenye pepa rahisi tu soon
Tatizo Kocha ana viashiria vya UDINI SANA. Hata Dickson Job amemrejesha tu sababu ya kelele za wadau. Yeye ana aleji na majina ya kikatolikiMkude is the most important player pale taifa stars now.
sema kocha wetu atabisha
Waislam Wana nidhamu ya kidini kwa wakubwa wao. Malezi ya Makocha wetu wazawa hawataki kupata maoni kutoka kwa wachezaji. Kule kwa wazungu hata professor anajadiliana na wanafunzi siku ya kuleta homework au kufanya jambo,Tatizo Kocha ana viashiria vya UDINI SANA. Hata Dickson Job amemrejesha tu sababu ya kelele za wadau. Yeye ana aleji na majina ya kikatoliki
Yes mkuu am hia
Nilikuita usomeYes mkuu am hia