Mkude na Mzamiru waitwe Taifa Stars

Mkude na Mzamiru waitwe Taifa Stars

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Jonas Mkude na Mzamiru waongezwe kikosini. Wana uzoefu na mechi kubwa na ngumu, Wana nguvu na wanaweza bado. Ziko mechi zitawahitaji hasa zile zitakozohitaji kugongana na uzoefu,
 
Hao wazee acha wale pension

USSR
Pamoja na usajili mkubwa uliofanywa na Simba lakini Mzamiru bado anaanza, Mkude bado Gamondi anamtumia kwenye mechi za mkakati, mfano dhidi ya mamelods. Fadlu na gamondi ni makocha wakubwa sana nchini.
 
Labda Mkude huyo Mzamiru ni kwa vile makolo hakuna wachezaji kiwango chake ni kidogo mno
Mzamiru anaweza kucheza mechi zenye wachezaji korofi kama za waarabu. Tusidanganyane, ushindi wetu kule Ivory coast ni Mungu TU alikuwa na sisi.
 
Backline walewake Zimbwe, Lusajo, Baka, na Job.

Midfield; Walewale Dismas, Mudathiri na Feisal

Front line hapa ndio pana ukakasi

Msuva, Samatta na Kibu D

Ni maoni tu lakini.
 
Mkude is the most important player pale taifa stars now.

sema kocha wetu atabisha
 
Watanzania mnachokita hamkijui?
Mlisema timu inawazee hawachezi kwa kujituma leo hii tena vijana hawawezi.

Ukiwa mtanzania tu unajiondoa kwenye viumbe wenye akili unakuwa mjingamjinga
 
Watanzania mnachokita hamkijui?
Mlisema timu inawazee hawachezi kwa kujituma leo hii tena vijana hawawezi.

Ukiwa mtanzania tu unajiondoa kwenye viumbe wenye akili unakuwa mjingamjinga
Tunaangalia kiwango sio umri wao. Akina modrick, Ronaldo C, Messi, Ramsom
 
Kuna mtoto pepa la juzi kaotea kapiga A saivi ukoo mzma unamzngatia wanataka wamnunulie vitabu na mkebe mpya wampeleke na twishen nzuri
Navomjua huyu dogo asivopenda kusifiwa atatepeta kwenye pepa rahisi tu soon
 
Lile goli ilikuwa ni fluke iliyozaa matunda. Hata yeye ukimuuliza ilikuwaje atakwambia hata yeye hajui alilifungaje, maana hawezi kurudia kufunga kama vile Tena.
 
Mkude is the most important player pale taifa stars now.

sema kocha wetu atabisha
Tatizo Kocha ana viashiria vya UDINI SANA. Hata Dickson Job amemrejesha tu sababu ya kelele za wadau. Yeye ana aleji na majina ya kikatoliki
 
Tatizo Kocha ana viashiria vya UDINI SANA. Hata Dickson Job amemrejesha tu sababu ya kelele za wadau. Yeye ana aleji na majina ya kikatoliki
Waislam Wana nidhamu ya kidini kwa wakubwa wao. Malezi ya Makocha wetu wazawa hawataki kupata maoni kutoka kwa wachezaji. Kule kwa wazungu hata professor anajadiliana na wanafunzi siku ya kuleta homework au kufanya jambo,

Hapa Tanzania Bado hakuna mchezaji mzawa anaecheza kwa umahili namba ya Mkude na Ibrahim Ajibu
 
Back
Top Bottom