Mkude na Skudu wanaongea lugha gani hapa?

Soloma TV Online

Senior Member
Joined
Jun 26, 2023
Posts
104
Reaction score
291
Skudu kasajiliwa siku kadhaa ndani ya Yanga akitokea South Africa, baada ya mazoezi ndani ya AVIC TOWN alikuwa na Mkude wakibonga hapo unadhani ni lugha gani hiyo?
 
Uto semeni kabisa mpo kamili? Msipigwe jioni mkaanza visingizio.
 
Sina uhakika, ila kupitia google kwamba, kuna Wasouth Afrika ambao Kiingereza ni lugha ya pili kujifunza na wanapenda kuzungumza lugha zao za asili.

Hivyo Kiingereza cha Skudu ni rahisi na wanaweza kuongea na Mkude tu bila shida.



Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Daah! Skudu wamemvalisha blauzi maskini
 
Naona kama Mkude wanamtenga tenga hivi au ma eye yangu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…