Mkude Simba Special Thread

Mkude Simba Special Thread

PNC

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
8,106
Reaction score
14,353
Hapa utapata vichekesho vya mkude simba kwa kadiri nitakavyokuwa navipata sio mbaya kama nawe unavyo tukashare pamoja

*********UPDATE******
VICHEKESHO VILIVYOONGEZWA NI VITATU VYA CHINI (kuanzia mkude malaika hadi kizibo)
hii imetokana na jamii forum kutoruhusu zaidi ya file 20 hvyo tutakuwa tunafuta na kuweka vipya
 

Attachments

J'PILI WKT NIPO CHURCH MAOMBI YANAENDELEA JAMAA MMOJA AKANINONG'ONEZA

"KWA JINA LA YESU LEO UTATEMBEA"

NIKASHANGAA MBONA MIMI SIO KILEMA!?, NILIMUELEWA BAADA YA IBADA KUISHA NKAJIKUTA SINA NAULI MFUKONI..JAMAA ANAMIUJIZA YULEEE!!


[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom