Mkude Simba Special Thread

Ni Tanzania pekee ambapo unaingia gas station wameandika lipa kwa TIGOPESA Alaf pemben yake pameandikwa tafadhali zima simu yako [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dada mmoja alikwenda kwenye duka la wanyama kununua kasuku.
mambo yakawa hivi:
DADA: Nikekuja kununua kasuku.
MMILIKI: Nina aina mbili ya kasuku aina ya kwanza anarudia kila kitu unachozungumza na aina ya pili anafikiria mwenyewe kisha anazungumza"
Je ww unamtaka yupi?
DADA: Nadhani namtaka anayefikiria mwenyewe.
(MMILIKI akamletea dada kasuku kulingana na alivochagua kisha akaambiwa amfanyie majaribio.)
DADA: Naonekanaje?
KASUKU: Unaonekana kama kahaba.
DADA: "...kwa hasira..." "Siwezi kununua kasuku kama huyu! Hana adabu!"
MMILIKI: Samahani dada naomba unisubili kidogo.....(akampeleka kasuku nyuma ya duka na kumzamisha kwenye ndoo ya maji kisha akamuonya, "kama ukirudia tena kumkosea adabu yule dada ntakuja nikuloweke kwenye maji siku nzima.
". MMILIKI aliporudi kaunta akamuomba dada amjaribishe kasuku kwa mara nyingine na akamsihi akisema ".kwa sasa unaweza kumuuliza chochote naamini atakujibu vizuri bila matatizo yoyote"
MAJIBIZANO YAKAWA KAMA HIVI:
DADA: Kama nikirudi nyumbani usiku wa manane na nikaja na mwanaume huyo mwanaume atakuwa ni nani?
KASUKU: Mume wako!
DADA: Vizuri! vipi kama nikija na wanaume wawili?
KASUKU: Mume wako & shemeji yako.
DADA: Vzuri! Vizuri sana" kama nikija na wanaume watatu je?
KASUKU: Atakuwa ni mume wako,shemeji yako na kaka yako!
DADA: Waooooooo!!! Vipi kama nikija nyumbani na wanaume wanne?
KASUKU: (Akageuka nyuma akamwangalia miliki wake ) . . . . kisha akasema "Tafadhali kaniloweke kwenye maji, nilishasema mapema kwamba huyu mwanamke ni kahaba!!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yeuwiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…