Mkudugwa napiga hodi!

Mkudugwa napiga hodi!

mkudugwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2015
Posts
226
Reaction score
221
Wanajamii naomba mnipokee niwe mmoja wa wanafamilia wa jf!
 
Samahani watu8 eti lile jukwaa lakina warumi linaitwaje? Huwa nalipenda naweza kwenda sasa hivi au Kuna mashariti ya wageni maana Na Mimi Nina kaugonjwa kaumbea Kama Warumi,ila Warumi asinielewe vibaya.
 
Back
Top Bottom