Mkuki Kwa Nguruwe✔

Mkuki Kwa Nguruwe✔

Bishop Hiluka

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2011
Posts
7,147
Reaction score
14,699
Ilitokea pale nilipokutana njiani na mwalimu aliyenifundisha MATHS enzi zileee halafu akaniambia nimuelekeze njia ya kwenda Makuburi.

“Nenda mbele kama 1.2 KM hivi kisha kata kushoto, ila hakikisha angle inakuwa ni 30.5 Kusini Mashariki. Kisha tumia pythagoras na hakikisha una four figure ili kupata thamani ya angle.

Mwalimu alisonya na kuondoka. Sijui wakati ananichapa akitaka nifaulu somo lake alifikiri sifa!?…
emoji125.png
emoji125.png
emoji125.png
 
Kweli ukisikia kukosa adab ndo huko. Chaa! Unamdhalilisha babu yako?? Hata mimi nimekusonya Nnnnnnnnzwaaaa
 
Na Ukata huu halafu ujumlishe na hilo jibu mbona balaa. ..
 
Back
Top Bottom