Mkulima halisi from Katavi

Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
 
Karibu sana JamiiForums...
 
Karibu sana. Huku Jamii Forums kila mtu ana hela sana. Hakuna mkulima [emoji38]
 
Kwanini ya mbiga Iko bei juu?
Mbuga heka moja makadilio ya juu Watu wanapata Hadi gunia 25-30. Gunia moja lina simamia 90k ivi. 25*90=2250000. Kwaiyo tukija kwenye swali lako, Bei inakua juu kwa sababu mapato nayo yapo juu.

B4
 
Mbuga heka moja makadilio ya juu Watu wanapata Hadi gunia 25-30. Gunia moja lina simamia 90k ivi. 25*90=2250000. Kwaiyo tukija kwenye swali lako, Bei inakua juu kwa sababu mapato nayo yapo juu.

B4
iko vizur iyo,mahind mwaka huu wataanza kupanda tena msimu ghani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…