Mkulima ukifanikiwa kupiga hela jitahidi uwe na mradi hata mdogo wa kukupa pesa ndogondogo kila siku

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,387
Reaction score
44,030
Wakulima wengi hupitia wakati mgumu sana kabla ya mavuno. Kuanzia kupanda hadi kuvuna huwa wanapitia ukata wa hatari sana kifedha. Mimi ninashauri ukivuna ukabahatika kukutana na bei nzuri sokoni fungua mradi mdogo utakaokupa pesa kidogo za ku-survive unapopambana na msimu unaofuata.

Kurudisha pesa yote shambani sio mbaya ila risk yake ni kubwa sana. Na kwa uzoefu wangu ni wachache wanaopiga hela misimu miwili mfululizo. Lakini huu ni ushauri tu. TAKE IT OR LEAVE IT.
 
Kurudisha pesa yote shambani sio mbaya ila risk yake ni kubwa sana. Na kwa uzoefu wangu ni wachache wanaopiga hela misimu miwili mfululizo. Lakini huu ni ushauri tu. TAKE IT OR LEAVE
Wapo wanaofanya hivyo,ila wengine ni waoga.
Na wengine wanalima TU mwaka mzima
 
Ukilima na kuvunq
1. Epuka wanawake. Kuna wadada ngozi laini washakariri Wakulima na minimum ya kuvuna.

2. Ufugaji unalipa pia. Ukinunua mbuzi wako 10 au 20 ukawarutubusha. Ukichukua croiler kadhaa, au wa kienyeji... itakulipa

3. Kuna kulima na kuhifadhi. Kuna siri katika mzunguko wa nafaka. Jifunze low season na high season.

4. Ukiwa na skill ya ufundi utakubeba. Kuwa fundi garage, mjenzi, fundi umeme, fundi mashine nk

Mwerevu ni ajuaye kucheza na misimu. High season na low season zote Zina fursa na faida
 
Kuna sehemu wakulima wameshazoea maisha yao ni ya kulima tuu wakisha vuna gunia 1000 mabaamedi wanamwagika wahahonga msimu unaisha wanaludi mashambani
 
sahihi mimi nipo eneo x kilimo kikubwa ni mpunga unaambiwa saivi guest saa nane mchana zimejaa wababa wengi hawalali nyumbani huku wake zao nao wameshughulikiwa mchana
 
Wakulima wa ccm wa mama samia hawana hizo shida ndogo ndogo, acheni kuichafua wizara yetu ya kilimo
 
Ukilima na kuvunq
1. Epuka wanawake. Kuna wadada ngozi laini washakariri Wakulima na minimum ya kuvuna.

2. Ufugaji unalipa pia. Ukinunua mbuzi wako 10 au 20 ukawarutubusha. Ukichukua croiler kadhaa, au wa kienyeji... itakulipa

3. Kuna kulima na kuhifadhi. Kuna siri katika mzunguko wa nafaka. Jifunze low season na high season.

4. Ukiwa na skill ya ufundi utakubeba. Kuwa fundi garage, mjenzi, fundi umeme, fundi mashine nk

Mwerevu ni ajuaye kucheza na misimu. High season na low season zote Zina fursa na faida
Ni kwa nini watu hawapendi layers sana?.
 
Wakulima wengi hupitia wakati mgumu sana kabla ya mavuno. Kuanzia kupanda hadi kuvuna huwa wanapitia ukata wa hatari sana kifedha. Mimi ninashauri ukivuna ukabahatika kukutana na bei nzuri sokoni fungua mradi mdogo utakaokupa pesa kidogo za ku-survive unapopambana na msimu unaofuata.

Kurudisha pesa yote shambani sio mbaya ila risk yake ni kubwa sana. Na kwa uzoefu wangu ni wachache wanaopiga hela misimu miwili mfululizo. Lakini huu ni ushauri tu. TAKE IT OR LEAVE IT.
Inasikitisha sana... mkulima anapata hela anaenda kununua mfuko wa ngano.....
 
sahihi mimi nipo eneo x kilimo kikubwa ni mpunga unaambiwa saivi guest saa nane mchana zimejaa wababa wengi hawalali nyumbani huku wake zao nao wameshughulikiwa mchana
hahahahaha! Na kwambia mkuu nihatari huku msimu wa masika ukiingia wanaondoka wakianza kuvuna tu hao watu hadi magunia ya mpunga wanahonga kipindi cha ufuta debe 2 unakula mbunye mpaka aruhi
 
Wakulima wengi hupitia wakati mgumu sana kabla ya mavuno. Kuanzia kupanda hadi kuvuna huwa wanapitia ukata wa hatari sana kifedha. Mimi ninashauri ukivuna ukabahatika kukutana na bei nzuri sokoni fungua mradi mdogo utakaokupa pesa kidogo za ku-survive unapopambana na msimu unaofuata.

Kurudisha pesa yote shambani sio mbaya ila risk yake ni kubwa sana. Na kwa uzoefu wangu ni wachache wanaopiga hela misimu miwili mfululizo. Lakini huu ni ushauri tu. TAKE IT OR LEAVE IT.
Biashara gani huko Kijijini sasa!! ? Wateja ndiyo hao hao na wao wanakuwa wameishiwa kwa mtindo kama wa kwangu huu!!!!?
 
hahahahaha! Na kwambia mkuu nihatari huku msimu wa masika ukiingia wanaondoka wakianza kuvuna tu hao watu hadi magunia ya mpunga wanahonga kipindi cha ufuta debe 2 unakula mbunye mpaka aruhi
Akili za ajabu kuwahi kuona na ndio vipindi ambavyo mimba zisizotarajiwa hutungwa, magonjwa kuenezwa yaani balaa unaambiwa!
 
Back
Top Bottom