GEBA2013
JF-Expert Member
- Feb 22, 2014
- 4,880
- 6,047
mbegu ya kitunguu ni sababu mmojawapo kilimo cha kitunguu kuwa ghali,na mara nyng mbegu huwa huuzwa ghali sna napamoja kuwa ghali huwa hufanya vibaya nakuangusha wakulima.mara nyng makampuni yanayozalishwa mbegu yanakuwa hawaeleweki sometime wanafanya vizuri sometime no.nitatoa mfano kuna mwaka kampun ya simlo iliuza mbegu kwa wakulima mbegu yao ilifanya vibaya sna,wakulima walivuna chni yakiwango,ikaja kampuni ya east afrika walifanya vizuri mwaka uliofuata wakawangusha wakulima,kibo nayo hvo hvo.kutokana nahayo baadhi ya wakulima wakanza kuzalisha mbegu zao wenyewe ambayo wanahakika nazo.unaweza ukazalisha mbegu yako mwenye kwakuchagua vitungu vile vizuri red round shape nakupanda upya.kwagunia moja yakitunguu uliyozalisha unaweza ukapata lita 20 ya mbegu ambayo nisawa nalaki4 nisawa nakupanda eka 2 yakitunguu kwa mbegu hyo.karibuni kwa mawazo mbadala