mkulima wa kitunguu zalisha mbegu yako mwenyewe kupunguza gharama

mkulima wa kitunguu zalisha mbegu yako mwenyewe kupunguza gharama

GEBA2013

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2014
Posts
4,880
Reaction score
6,047
mbegu ya kitunguu ni sababu mmojawapo kilimo cha kitunguu kuwa ghali,na mara nyng mbegu huwa huuzwa ghali sna napamoja kuwa ghali huwa hufanya vibaya nakuangusha wakulima.mara nyng makampuni yanayozalishwa mbegu yanakuwa hawaeleweki sometime wanafanya vizuri sometime no.nitatoa mfano kuna mwaka kampun ya simlo iliuza mbegu kwa wakulima mbegu yao ilifanya vibaya sna,wakulima walivuna chni yakiwango,ikaja kampuni ya east afrika walifanya vizuri mwaka uliofuata wakawangusha wakulima,kibo nayo hvo hvo.kutokana nahayo baadhi ya wakulima wakanza kuzalisha mbegu zao wenyewe ambayo wanahakika nazo.unaweza ukazalisha mbegu yako mwenye kwakuchagua vitungu vile vizuri red round shape nakupanda upya.kwagunia moja yakitunguu uliyozalisha unaweza ukapata lita 20 ya mbegu ambayo nisawa nalaki4 nisawa nakupanda eka 2 yakitunguu kwa mbegu hyo.karibuni kwa mawazo mbadala
 
nina maswali ndugu:
  1. Nitajie misimu mizuri ya vitunguu hasa kwa mkoa wa iringa
  2. Nikianza kulima june pale ruaha ni sawa? vitunguu havitaathirika? na mavuno yatakuwaje?
 
Misimu mizuri iringa niya mwezi wa3 kutoa mwezi wa6 au 7,kwa mwezi wa 6 hujachelewa ila hakikisha umepanda mwezi7
 
Geba tunashukuru kwa ushauri wako!! Lakini bado sijaelewa hapo kwenye Lita 20 za mbegu!! Na pia ningeomba contact information zako ili uweze kunisaidia utaalamu zaidi sababu mi ni mgeni kwenye hichi kilimo!
 
Lita20 ina mana ukipandikiza gunia moja y kitunguu kizima ilikupata mbegu unapata lita 20 ambyo nisawa na kg 13 ya mbegu
 
geba tunashukuru kwa ushauri wako!! Lakini bado sijaelewa hapo kwenye lita 20 za mbegu!! Na pia ningeomba contact information zako ili uweze kunisaidia utaalamu zaidi sababu mi ni mgeni kwenye hichi kilimo!

0752317974 unaweza kuzalisha mbegu km biashara pia
 
Nimefurahi sana kijana nn changa moto ya kilimo cha.vitunguu hususani magonjwa.
 
Back
Top Bottom